Search Header Logo
Nomino za Pekee na Nomino za Kawaida

Nomino za Pekee na Nomino za Kawaida

Assessment

Presentation

•

World Languages

•

7th Grade

•

Practice Problem

•

Hard

Created by

Janice Mutua

Used 3+ times

FREE Resource

15 Slides • 0 Questions

1

media

DKT. JANICE MUTUA

KISWAHILI

GREDI 7

KAUNTI YA NAKURU

2

media

NOMINO NI NINI?

•Maneno yanayotaja vitu.

•Kuna aina mbalimbali za nomino.

•Katika kipindi hiki tutashughulikia aina mbili
tu za nomino.

•Nomino za kipekee na nomino za kawaida.

3

media

NOMINO ZA PEKEE (MAALUM)

4

media

AINA ZA NOMINO ZA PEKEE

• MAJINA YA WATU

• SIKU ZA WIKI

• MAJINA YA MIEZI YA MWAKA

• MAJINA YA MITO

• MAJINA YA NCHI

• ANWANI ZA VITABU

• MAJINA YA MAGAZETI NA MAJARIDA

• MAJINA YA MILIMA

• MAJINA YA MAZIWA

5

media

SIFA ZA NOMINO ZA PEKEE

•Huanza kwa herufi kubwa (popote)

•Hazibainiki katika umoja wala wingi

•Hazitafsiriwi

6

media

MIFANO YA NOMINO ZA PEKEE

• watu - pamoja na nemsi…

• Daktari Matendechere, Mwalimu Otieno, Hadija, Wanjiku, Mercy

• Siku za Wiki (Juma)

• Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, Jumapili

• Miezi ya Mwaka

• Januari,

Februari,

Machi,

Aprili,

Mei,

Juni,

Julai,

Agosti,

Septemba,

Oktoba,

Novemba,

Desemba/Disemba

• Majina ya Nchi, Kaunti, Miji

• Kenya, Uganda, Naijeria, Marekani

• Majina ya mito

• Tana, Amazon, Athi, Ndarugu, Malewa, Kipsonoi, Thongi

• Magazeti na Majarida

• Taifa Leo,

• Anwani za vitabu

7

media

NOMINO ZA KAWAIDA

•Nomino za kawaida ni aina ya nomino ambazo
zinawakilisha vitu au viumbe ambavyo si vya
pekee au maalum.

•Hivi ni vitu, viumbe, au dhana za kawaida.

8

media

SIFA ZA NOMINO ZA KAWAIDA

• Hubainika katika umoja na wingi.

• Huandikwa

kwa

herufi

kubwa

mwanzoni

mwa

sentensi pekee.

• Ni majina ya vitu vya kawaida katika mazingira yetu.

9

media

MIFANO YA NOMINO ZA KAWAIDA

10

media

NOMINO ZA PEKEE/KAWAIDA

NOMINO ZA
PEKEE

NOMINO ZA KAWAIDA

1.

Bwana Otieno, Profesa
Mtusafi

mwalimu - walimu,
mwanamume - wanaume,
mlinzi – walinzi,
mtume - mitume

2.

Mto Tana

mto - mito,

3.

Mlima Kenya

mlima – milima,

4.

Jumapili

siku - siku

5.

Januari

mwezi - miezi

11

media

MIFANO YA SENTENSI

NOMINO ZA
PEKEE

NOMINO ZA
KAWAIDA

1.

Profesa Mtusafi
ametuandalia karamu ya
kukata na shoka.

Profesa Mtusafi ametuandalia
karamu ya kukata na shoka.

2.

Mto Tana ulivunja kingo zake
na kusababisha mafuriko
katika Kaunti ya Garissa.

Mto Tana ulivunja kingo zake na
kusababisha mafuriko katika
Kaunti ya Garissa.

3.

Wakenya hujivunia urembo
wa Mlima Kenya.

Wakenya hujivunia urembo wa
Mlima Kenya.

12

media

MAZOEZI

• TAMBUA NOMINO ZA PEKEE NA NOMINO ZA KAWAIDA

• "Mjane huyo, akiwa na pete ya almasi, aliabiri ndege ya kisasa ya

kampuni ya Emirates kuelekea Paris. Safari yake ilimletea utajiri wa
kipekee na furaha tele. Alipofika, alitembea kwenye barabara za jiji
hilo lenye historia na kujionea mandhari ya kupendeza. Aligundua
mkahawa

maarufu

na

kula

chakula

cha

kipekee.

Baadaye,

alitembelea mnara wa Eiffel na kujionea uzuri wake wa kuvutia.
Usiku ulipowadia, alitembelea kaburi la Jim Morrison na kuacha ua.
Kisha akaenda kwenye hoteli yake ya kifahari na kulala usingizi
mzuri."

13

media

MAJIBU

NOMINO ZA PEKEE

NA

NOMINO ZA KAWAIDA

"Mjane huyo, akiwa na pete ya almasi, aliabiri ndege ya
kisasa ya kampuni ya Emirates kuelekea Paris. Safari
yake

ilimletea

utajiri

wa

kipekee

na

furaha

tele.

Alipofika, alitembea kwenye barabara za jiji hilo lenye
historia na kujionea mandhari ya kupendeza. Aligundua
mkahawa maarufu wa Ritz Paris na kula chakula cha
kipekee.

Baadaye,

alitembelea

mnara

wa

Eiffel

na

kujionea

uzuri wake wa kuvutia. Usiku ulipowadia,

alitembelea kaburi la Jim Morrison na kuacha ua. Kisha
akaenda

kwenye

hoteli

yake

ya

kifahari

na

kulala

usingizi mzuri."

14

media

ZOEZI LA ZIADA

https://quizizz.com/join?gc=94122376

94122376

https://quizizz.com/print/quiz/663aa184563b133
9a1d2f1ba?source=worksheet_share

15

media

ASANTENI

pattern-tertiary
media

DKT. JANICE MUTUA

KISWAHILI

GREDI 7

KAUNTI YA NAKURU

Show answer

Auto Play

Slide 1 / 15

SLIDE