Kisawhili Grade 4 - Methali za malezi

Kisawhili Grade 4 - Methali za malezi

4th Grade

11 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

MEDIACIÓN COMUNITARIA

MEDIACIÓN COMUNITARIA

1st - 12th Grade

12 Qs

Kiswahili Grade 4 - Mashairi

Kiswahili Grade 4 - Mashairi

4th Grade

6 Qs

How well do you know Nanay Jane?

How well do you know Nanay Jane?

1st Grade - Professional Development

15 Qs

Ngalarapkeun Undak-Unduk Basa

Ngalarapkeun Undak-Unduk Basa

4th Grade

10 Qs

Chattisgarh state

Chattisgarh state

4th Grade

10 Qs

Hábitos de vida saludables

Hábitos de vida saludables

KG - Professional Development

10 Qs

Exploradores de la verdad-Apocalipsis

Exploradores de la verdad-Apocalipsis

1st - 12th Grade

6 Qs

Especialidad Bioseguridad Segunda Parte

Especialidad Bioseguridad Segunda Parte

1st - 5th Grade

11 Qs

Kisawhili Grade 4 - Methali za malezi

Kisawhili Grade 4 - Methali za malezi

Assessment

Quiz

Specialty

4th Grade

Medium

Created by

Peter Mundia

Used 23+ times

FREE Resource

11 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Asiyesikia la mkuu, ___________________________.

ni mkuu

huvunjika guu

ni mjinga

haelewi mambo

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

____________________, ndivyo akuavyo.

Mtoto umleavyo

Mtoto umchapavyo

Mtoto umpendavyo

Mtoto umchukiavyo

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Mtoto wa nyoka, _____________________.

ni mwizi

ni kijoka

ni nyoka

ni wewe

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Mwana akibebwa, _____________________________.

hutazama mgongo wa nina

hutazama njia ya nina

hutazama kisogo cha nina

hulalalia mgongo wa nina

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

_____________________, angali mbichi.

Ng'ombe mlishe

Simba muue

Samaki mpike

Samaki mkunje

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

_______________________, hafunzwi kuchakura.

Mtoto wa mtaa

Mtoto wa kuku

Mtoto wa mwanadamu

Mtoto wa ndege

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

____________________, ni simba.

Mtoto wa simba

Mtoto wa mwanajeshi

Mtoto wa nyoka

Mtoto wa mwalimu

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?