Msamiati wa mahakamani

Msamiati wa mahakamani

4th - 8th Grade

9 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Alat-Alat Muzik Tradisional Melayu

Alat-Alat Muzik Tradisional Melayu

7th - 12th Grade

10 Qs

SAJILI YA HOSPITALINI.

SAJILI YA HOSPITALINI.

5th Grade

10 Qs

Msamiati wa mahakamani

Msamiati wa mahakamani

Assessment

Quiz

Education

4th - 8th Grade

Hard

Created by

Haggai kiptoo

Used 1+ times

FREE Resource

9 questions

Show all answers

1.

FILL IN THE BLANK QUESTION

30 sec • 1 pt

Mahali ambapo kesi husikilizwa na kuamuliwa huitwa

2.

FILL IN THE BLANK QUESTION

30 sec • 1 pt

Anayefikiriwa kufanya kosa huitwa

3.

FILL IN THE BLANK QUESTION

30 sec • 1 pt

Vikuku anavyotiwa mhalifu mkononi huitwa

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

30 sec • 1 pt

Anayepeleka kesi kortini huitwa

5.

FILL IN THE BLANK QUESTION

30 sec • 1 pt

Anayefikishwa kortini ili kujibu mashtaka

6.

FILL IN THE BLANK QUESTION

30 sec • 1 pt

Mtu anayeitwa mahakamani kwa sababu aliona au kusikia tukio likifanyika huitwa

7.

FILL IN THE BLANK QUESTION

30 sec • 1 pt

Sehemu kama sanduku ambapo mshtaki/mshtakiwa au shahidi husimama huitwa

8.

FILL IN THE BLANK QUESTION

30 sec • 1 pt

Mtu anayeeleza kesi mahakamani huitwa

9.

FILL IN THE BLANK QUESTION

30 sec • 1 pt

Mtu anayeshughulika na nyaraka za kesi kortni huitwa