Kiswahili Gredi ya Nne - Tathmini ya Ushauri Nasaha

Kiswahili Gredi ya Nne - Tathmini ya Ushauri Nasaha

Assessment

Quiz

Other, Social Studies

4th Grade

Medium

Created by

Peter Mundia

Used 6+ times

FREE Resource

Student preview

quiz-placeholder

20 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

METHALI

Kamilisha methali zifuatazo:

Mtoto umleavyo ____________________.

sivyo akuavyo

ndivyo akuavyo

hakui hivyo

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

2. Mtoto wa nyoka ni __________________.

mjanja

nyoka

mwana

3.

MULTIPLE SELECT QUESTION

45 sec • 1 pt

3. Mkono mmoja haulei _________________.

mwana

kitu

uvivu

4.

MULTIPLE SELECT QUESTION

45 sec • 1 pt

________________ la mkuu huvunjika guu.

asiyesikia

anayesikia

asiyetaka

5.

MULTIPLE SELECT QUESTION

45 sec • 1 pt

________________ hutazama kisogo cha nina.

mwana akila

Mwana akilala

Mwana akibebwa

6.

MULTIPLE SELECT QUESTION

45 sec • 1 pt

MASHAIRI

Kifungu kimoja cha shairi huitwa _________

ubeti

mshororo

kibwagizo

7.

MULTIPLE SELECT QUESTION

30 sec • 1 pt

Anayetunga mashairi anaitwa ____________

manju

mtunzi

malenga

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?