Kiswahili Year 7

Kiswahili Year 7

7th Grade

11 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

SIKU NJEMA

SIKU NJEMA

6th - 7th Grade

11 Qs

Kiswahili Kukanusha

Kiswahili Kukanusha

5th - 7th Grade

12 Qs

Free fire

Free fire

6th - 12th Grade

11 Qs

Pagtataya 4 sa Filipino 10

Pagtataya 4 sa Filipino 10

1st - 10th Grade

15 Qs

Kiswahili Year 7

Kiswahili Year 7

Assessment

Quiz

Other

7th Grade

Hard

Created by

Julia Shirwatzo

Used 11+ times

FREE Resource

11 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Jibu maamkuzi haya: Hujambo?

Njema

Sijambo

Nzuri

marahaba

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni maamkuzi gani tunawapa wazee?

Jambo?

Habari yako?

Shikamoo?

U hali gani?

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Wakati unapotaka kusaidiwa na mtu, unatumia neno gani la adabu kuomba?

Tafadhali.

Asante

Bwana

Bibi

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni jina lipi tunatumia kumtaja mtu maarufu?

Kiongozi

Maarufu

Rais

Muadhana

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Neno lipi la heshima tunatumia kumtaja mama aliye na mimba?

Mjamzito

Mama mzuri

Mrembo

Aliye na mimba

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni jina lipi tunampa mwanamume tajiri?

Tajiri

Mwinyi

Mdosi

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Herufi za lugha ya Kiswahili ni ngapi?

28

26

30

25

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?