Vitendawili

Vitendawili

3rd - 4th Grade

20 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

KIFARU

KIFARU

KG - 12th Grade

20 Qs

Nepromjenjive vrste riječi

Nepromjenjive vrste riječi

1st - 12th Grade

17 Qs

Vitendawili

Vitendawili

Assessment

Quiz

Other

3rd - 4th Grade

Medium

Created by

Weldon Korir

Used 6+ times

FREE Resource

20 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Akitokea watu wote humwona.

maji

jua

ndege

upepo

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Adui lakini popote uendapo yupo nawe.

giza

inzi

kaburi

ugonjwa

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi.

mgomba

jua

giza

papa

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Anakuangalia tu wala halali au kutembea.

picha

moto

simba

mbegu

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Babu hupiga kelele akojoapo.

muwa

shoka

siafu

mvua

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Babu, nyanya, mjomba, mama, baba, na watoto, mna safari ya wapi?

macho

moto

siafu

inzi

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Chakula kikuu cha mtoto.

mtoni

radi

mgomba

usingizi

Create a free account and access millions of resources

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy

Already have an account?