KISWAHILI

KISWAHILI

5th Grade

8 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Pandiwa

Pandiwa

4th - 6th Grade

10 Qs

Ang Kwintas

Ang Kwintas

4th - 10th Grade

10 Qs

Pagsasanay #1

Pagsasanay #1

1st - 10th Grade

10 Qs

EsP Q2 W3 Pagbibigay-alam sa Kinauukulan  tungkol sa Kaguluhan

EsP Q2 W3 Pagbibigay-alam sa Kinauukulan tungkol sa Kaguluhan

5th Grade

10 Qs

MGA BAHAGI NG PANGUNGUSAP

MGA BAHAGI NG PANGUNGUSAP

4th - 6th Grade

12 Qs

Sanhi at Bunga

Sanhi at Bunga

5th Grade

10 Qs

“啊”

“啊”

1st - 6th Grade

10 Qs

LOS NEXOS

LOS NEXOS

5th Grade

10 Qs

KISWAHILI

KISWAHILI

Assessment

Quiz

Other

5th Grade

Hard

Created by

Andalia Duncan

Used 29+ times

FREE Resource

8 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Kamilisha methali ifuatayo:

Usipoziba ufa utajenga ______

dirisha

Ufa

Uta

Ukuta

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Tegua kitendawili:

Daima yeye hunifuata niendapo

Rafiki yangu

Kivuli

Mwangaza

Upepo

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Fanana kama ______

Pacha

Marafiki

Mama na bintiye

Shilingi kwa ya pili.

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Nahau gani ina maana ya "kupata taabu"?

Ng'oa nanga

Kula mwata

Piga chafya

kata kamba

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Media Image

Ala hii ya muziki iliyo kushoto ni______

Marimba

Zeze

Kayamba

Gitaa

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Ugonjwa unaosabishwa na vidudu vya konokono unaomfanya mgonjwa akojoe damu ni _______

Malaria

Kifafa

Kipindupindu

Kichocho

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Media Image

Msumari huu wenye hesi huitwa ________

Patasi

Bisbisi

Parafujo

Randa

8.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 1 pt

Jina lipi haliko katika ngeli ya LI-YA

majiko

makochi

marubani

marinda