Mr Cudmore Swahili

Mr Cudmore Swahili

5th Grade

20 Qs

Student preview

quiz-placeholder

Similar activities

な、は、ま Hiragana Quiz

な、は、ま Hiragana Quiz

KG - 9th Grade

15 Qs

Ortografia

Ortografia

5th - 7th Grade

19 Qs

Pangatnig

Pangatnig

5th Grade

15 Qs

vitendawili

vitendawili

5th Grade

15 Qs

Aymara Primer Trimestre 6to A

Aymara Primer Trimestre 6to A

1st - 6th Grade

22 Qs

FQ 2D

FQ 2D

5th Grade - Professional Development

23 Qs

PANG-ABAY na PANLUNAN

PANG-ABAY na PANLUNAN

4th - 5th Grade

15 Qs

Graus dos adjetivos (Português)

Graus dos adjetivos (Português)

5th - 6th Grade

15 Qs

Mr Cudmore Swahili

Mr Cudmore Swahili

Assessment

Quiz

Created by

Cudmore Muganzi

World Languages

5th Grade

3 plays

Medium

20 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Maneno yanayotatanisha kutamka kwa huitwa-----

visawe

vitate

vitawe

vivumishi

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Chagua wingi wa sentensi


Alivua nguo akazifua

alivua nguo wakazifua

Walivua nguo akazifua

walivua nguo wakazifua

walivua manguo wakazifua

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni vibaya -------sigara kwani ina madhara mengi

kuvuta

kufuta

kuvuruta

kufuruta

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Mtu akioa hulipa malipo yaitwayo -------

mahali

mali

nauli

mahari

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Mchele uliopikwa huitwa-----

mpunga

mchele

wali

kande

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kifaa kinachotumika kukuna nazi jikoni huitwaje?

sufuria

kijiko

chungu

mbuzi

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Vitu vinavyotiwa kwa chakula ili kuongeza ladha ni-----

viungo

chumvi

moto

jikoni

Explore all questions with a free account

or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?