Kiswahili

Kiswahili

8th Grade

7 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

SHULE YETU

SHULE YETU

6th - 8th Grade

7 Qs

poto de masa

poto de masa

8th Grade

11 Qs

Magonjwa (Ukimwi)

Magonjwa (Ukimwi)

8th Grade

10 Qs

TASTES AND PREFERNCES

TASTES AND PREFERNCES

8th Grade

5 Qs

KISWAHILI DARASA LA 8

KISWAHILI DARASA LA 8

8th Grade

10 Qs

Virejeshi

Virejeshi

8th Grade

10 Qs

Methali

Methali

8th Grade

10 Qs

Sehemu za mwili

Sehemu za mwili

8th Grade

10 Qs

Kiswahili

Kiswahili

Assessment

Quiz

World Languages

8th Grade

Hard

Created by

Lilly F

Used 14+ times

FREE Resource

7 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 1 pt

Chagua jibu lenye nomino iliyoundwa kutokana na kitenzi.

A. Unda-muundo

B. Pungua-pungufu

C. Safisha-safi

D. Tii-mtiifu

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 1 pt

Chagua kivumishi Cha nomino katika sentensi ifuatayo.

Mkulima msomi ameyahifadhi mazao tele kwenye ghala kubwa.

Yule

Tele

Msomi

Kubwa

Answer explanation

Tambua kivumishi Kisha utambue nomino

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Shaibu ni Kwa ajuza ilhali pora ni Kwa......

Koo

Jogoo

Tembe

Mtamba

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Chagua sentensi iliyotumia kiunganishi 'almuradi' sawasawa.

A. Nilikuwa almuradi sikushiba

B.Sikumwona almuradi atafika

C. Alishindwa kununua simu almuradi gari?

D. Unaweza kuenda kucheza almuradi urudi mapema

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Jumla ya miaka mia Moja ni

A. Miteni

B. Mwongo

C. Karne

D. Kikwi

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • Ungraded

Mtaka Cha mvunguni............

Sharti ainame

sharti ainame.

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Chagua neno ambalo Lina silabi mwambatano

A. Thabiti

B. Mfuko

C. Chungwa

D. Kitaby