SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ KISWAHILI DARASA LA 7

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ KISWAHILI DARASA LA 7

7th Grade

10 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Quiz B4 PTS

Quiz B4 PTS

1st - 10th Grade

10 Qs

TRINKOAK II

TRINKOAK II

7th Grade

14 Qs

VIVUMISHI

VIVUMISHI

7th Grade

12 Qs

Japanese alphabet test (2)

Japanese alphabet test (2)

6th - 8th Grade

15 Qs

แบบทดสอบ (เลข)

แบบทดสอบ (เลข)

6th - 8th Grade

10 Qs

Spanish Negatives

Spanish Negatives

7th - 8th Grade

10 Qs

Lesson 6 quiz

Lesson 6 quiz

6th - 12th Grade

10 Qs

Greetings Numbers Name Age

Greetings Numbers Name Age

7th - 9th Grade

15 Qs

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ KISWAHILI DARASA LA 7

SHULE YA MOUNTAIN VIEW QUIZ KISWAHILI DARASA LA 7

Assessment

Quiz

World Languages

7th Grade

Hard

Created by

S Kariuki

Used 1+ times

FREE Resource

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Neno miwani ni ngeli gani?

I - ZI

I - I

U - U

LI - YA

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Tumia kivumishi kirejeshi amba.

Ukongo _________ ulimpata ni hatari.

ambayo

ambalo

ambazo

ambao

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Neno nywesheana lina silabi __

kumi

tano

nne

nane

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Kanusha : Njoo ule.

usijoo usikule

usikuje wala usikule

ukuje ukule

usije usile

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Tambua neno lililopigwa msitari.

Ndege akijenga kiota huishi humo.

kivumishi

kiwakilishi

kitenzi

kiunganishi

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Malipo ya kwanza shuleni

karo

nauli

ada

koto

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 1 pt

Kisawe cha majonzi ni

machozi

huzuni

kilio

wasiwasi

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?