MJI WANGU

MJI WANGU

6th Grade

20 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

BI Kelas 6 SInonim-antonim

BI Kelas 6 SInonim-antonim

6th Grade

20 Qs

Quiz Bahasa Sunda

Quiz Bahasa Sunda

6th - 12th Grade

20 Qs

Soal Latihan UN SD Bahasa Indonesia

Soal Latihan UN SD Bahasa Indonesia

6th Grade

20 Qs

可加五六年级华语-啊,不,一的变调

可加五六年级华语-啊,不,一的变调

4th - 6th Grade

20 Qs

UN SD Bahasa Indonesia

UN SD Bahasa Indonesia

6th Grade

20 Qs

Tipos de textos

Tipos de textos

4th - 8th Grade

15 Qs

Kamus Bahasa Kita

Kamus Bahasa Kita

2nd - 6th Grade

17 Qs

Perasaanku

Perasaanku

6th - 8th Grade

15 Qs

MJI WANGU

MJI WANGU

Assessment

Quiz

World Languages

6th Grade

Medium

Created by

Rebecca Mongina

Used 16+ times

FREE Resource

20 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Andika wingi wa neno hili.

Mji.....................................

Maji

Miji

Majiji

2.

MULTIPLE SELECT QUESTION

45 sec • 1 pt

Taja vitu vinavyopatika katika mji wa Mombasa.

Duka la dawa

benki

msikiti

kibanda

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Andika 'Fort Jesus' kwa Kiswahili

Ngome

Ngombe ya yesu

Ngome ya Yesu

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Tumia kiunganishi

1.Mimi nilinunua nyama, karoti__ viazi.

lakini

na

pia

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Baba alitaka kununua gazeti______hakuwa na pesa.

Pia

Lakini

hata

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Indian Ocean inaitwaje katika Kiswahili

bara

bahari ya India

Bahari ya Hindi.

Bahari ya Mombasa

7.

MULTIPLE SELECT QUESTION

45 sec • 1 pt

Sehemu maarufu sana (common place) ya Watalii katika mji wa Mombasa ni gani?

Mapembeni

Ngome ya Yesu

Ufuo wa bahari

Kivuko cha Likoni

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?