UFANISI WA LUGHA (Kiswahili Kitukuzwe)

UFANISI WA LUGHA (Kiswahili Kitukuzwe)

8th Grade

11 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

KISWAHILI 004 2021

KISWAHILI 004 2021

8th Grade

15 Qs

KISWAHILI

KISWAHILI

4th - 8th Grade

12 Qs

MAPAMBO

MAPAMBO

8th - 10th Grade

15 Qs

MASWALI MSETO

MASWALI MSETO

8th Grade

10 Qs

Hiragana test

Hiragana test

8th Grade - Professional Development

9 Qs

Year 8 Blue Hiragana Belt

Year 8 Blue Hiragana Belt

8th Grade

16 Qs

Lugha

Lugha

7th - 8th Grade

15 Qs

KISWAHILI 003 2021

KISWAHILI 003 2021

8th Grade

15 Qs

UFANISI WA LUGHA (Kiswahili Kitukuzwe)

UFANISI WA LUGHA (Kiswahili Kitukuzwe)

Assessment

Quiz

World Languages

8th Grade

Hard

Created by

Jerome Taliani

Used 3+ times

FREE Resource

11 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 4 pts

Chagua methali yenye maana sawa na "Bura yangu siibadili na rehani"

mja hakatai wito hukataa aitiwalo

usiache mbachao kwa msala upitao

baniani mbaya kiatu chake dawa

ukiona vyaelea jua vimeundwa

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

20 sec • 4 pts

Twasema kitita cha pesa, pia twasema _______ ya chokaa

fungu

finyo

funda

tano

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 4 pts

Nini maana ya kufa ganzi ?

kuzimia

kufariki

kufa moyo

kosa hisia mwilini

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 4 pts

Kazi ya kuuza bidhaa hasa kwa kuzitangaza ni

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 4 pts

54 kwa maneno ni

nne kipeo cha tano

hamsini na nne

tano kipeo cha nne

humusi nne

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 4 pts

Rukia na Ahmed ni umbu. Ahmed amemwoa Zuhura. Je, Zuhura na Rukia wataitanaje?

mwamu

wifi

mcheja

shemeji

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 4 pts

Nilikuwa nimelala kifudifudi niliposikia sauti upande wangu wa kushoto. Iwapo kichwa change kilielekea mashariki, sauti ilitokea upande gani?

kusini

magharibi

mashariki

kaskazini

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?