
Magonjwa (Ukimwi)
Authored by bekhitah gracious
World Languages
8th Grade
Used 2+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
10 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Mgonjwa alifanyiwa upasuaji katika chumba gani?
wodi
jikoni
thieta
chumba cha wagonjwa
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Kamau alipewa...........baada ya kufanyiwa ..............vya ugonjwa wa Ukimwi.
chakula, kidonda
ushauri, virusi
ushauri, vipimo
vipimo, damu
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Unafaa kuwafanyia nini wagonjwa wa ukimwi?
kuwatenga
kuwakimbia
kuwaonyesha dharau
kuwaonyesha upendo.
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Ni ipi si njia ya kuambukizwa ukimwi?
kutumia wembe na watu wengine.
kuwekewa damu ya mgonjwa wa ukimwi
kutumia sahani na wagonjwa wa ukimwi.
kushiriki ngono na wagonjwa wa ukimwi
bila kinga.
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Ipi ni njia ya kuambukizwa ugonjwa wa ukimwi?
kuketi na mgonjwa wa ukimwi
kumsalimia mgonjwa wa ukimwi
kudungwa sindano ya mgonjwa wa ukimwi.
kutembelea mgonjwa wa ukimwi.
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
KIDONDA
tests
sore/wound
skinny
admitted
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Mgonjwa huyu ame........ugonjwa wa ukimwi.
kufa
ungua
ugua
lala
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?