Search Header Logo

Thatmini Endelevu Ya vikao vya taalum endelvu

Authored by LUA Ltd

Professional Development

Professional Development

Used 1+ times

Thatmini Endelevu Ya vikao vya taalum endelvu
AI

AI Actions

Add similar questions

Adjust reading levels

Convert to real-world scenario

Translate activity

More...

    Content View

    Student View

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni nini faida kuu ya kutumia upimaji wakati wa mafunzo endelevu?

Kuwafanya washiriki wajisikie chini ya shinikizo

Kusaidia kubaini maeneo ya maboresho

Kuhakikisha washiriki wanapata alama za juu

Kupunguza muda wa mafunzo

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni nini athari kuu ya kutumia upimaji wakati wa mafunzo endelevu kwa washiriki?

Kupunguza motisha ya kujifunza

Kujenga tabia ya kutafuta msaada

Kuimarisha uelewa wa mada

Kupunguza uwajibikaji wa mwanafunzi

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Lengo kuu la upimaji wakati wa kipindi cha mafunzo endelevu ni:

Kupata alama bora

Kutathmini maendeleo ya mwanafunzi

Kupima maarifa ya mwanafunzi mwishoni mwa mafunzo

Kuwachagua washiriki bora kwa mafunzo ya ziada

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kipengele gani kinaonyesha kuwa upimaji wakati wa mafunzo endelevu ni mchakato unaoendelea?

Kupanga mitihani mara moja tu

Kutoa mrejesho mara kwa mara

Kufuta matokeo yasiyotarajiwa

Kupima tu mwishoni mwa mafunzo

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Mbinu gani inaweza kutumiwa kwa upimaji wa muda mfupi wakati wa mafunzo endelevu?

Majaribio ya mwisho

Ripoti za kila siku

Mitihani ya wiki

Mahojiano ya kibinafsi

6.

MULTIPLE SELECT QUESTION

30 sec • 1 pt

Katika kipindi cha mafunzo ya kitaalam endelevu, upimaji unaweza kufanyika:

Mwishoni mwa kipindi cha mafunzo

Mara moja tu

Kwa muda mfupi wa mafunzo

Wakati wa kupanga kipindi cha mafunzo

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Lengo kuu la kufanya upimaji wakati wa mafunzo endelevu ni:

Kudhibiti washiriki

Kupima ustadi wa walimu

Kuongeza muda wa mafunzo

Kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi

Access all questions and much more by creating a free account

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

Already have an account?