Sauti

Sauti

11th Grade

9 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

Introducing oneself in Lingala

Introducing oneself in Lingala

KG - 12th Grade

10 Qs

Sauti

Sauti

Assessment

Quiz

World Languages

11th Grade

Hard

Created by

Sarah Muthoni

Used 3+ times

FREE Resource

9 questions

Show all answers

1.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

huku ukizingatia sehemu ya ulimi jibu maswali haya

Sauti /a/ hutamkiwa wapi?

2.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Sauti /e/ hutamkiwa wapi?

3.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Sauti /o/ hutamkiwa wapi?

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Huku ukizingatia mwinuko wa ulimi jibu maswali haya

sifa za Sauti /i/ ?

5.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Sifa za sauti /u/

6.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Sifa za sauti /e/

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ipi si sauti ya kipasuo

k

g

j

p

8.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Chagua jozi ambayo ni ya vikwamizo

/m/, /n/

/th/,/dh/

9.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Chagua kitambaza

/l/

/r/

/ch/

Discover more resources for World Languages