MAZOEZI YA KISWAHILI

MAZOEZI YA KISWAHILI

4th Grade

30 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

YORUBA ALPHA TERM ASSESSMENT

YORUBA ALPHA TERM ASSESSMENT

4th Grade

30 Qs

E. G. A. GRAMÁTICA

E. G. A. GRAMÁTICA

2nd - 4th Grade

27 Qs

SÍLABA TÓNICA

SÍLABA TÓNICA

1st - 6th Grade

29 Qs

Asesmen Sumatif Bah.Tonsea

Asesmen Sumatif Bah.Tonsea

1st - 5th Grade

25 Qs

Makabansa Aralin 1-4

Makabansa Aralin 1-4

1st Grade - University

25 Qs

FILIPINO

FILIPINO

1st - 12th Grade

25 Qs

MADALING KATANUNGAN PARA SA BAITANG 2 HANGGANG 4

MADALING KATANUNGAN PARA SA BAITANG 2 HANGGANG 4

2nd - 4th Grade

25 Qs

Balik- Aral (Kindness)

Balik- Aral (Kindness)

4th Grade

25 Qs

MAZOEZI YA KISWAHILI

MAZOEZI YA KISWAHILI

Assessment

Quiz

Other

4th Grade

Medium

Created by

DANSON KAMANDE

Used 12+ times

FREE Resource

30 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Papa ni kwa baba kama vile pipi ni kwa_________

bibi

popo

pii

biblia

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Maneno kama vile msichana,paka,balbu, tarakilishi,kipepeo na kizingiti kwa neno moja huitwaje?

maneno

vitenzi

nomino

vivumishi

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Chagua jibu lenye vitate

waya,yaya

nuna,tabasamu

msichana, banati

kiatu,soksi

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kamilisha sentensi kwa kivumishi kifaacho.

Dawati la mwanafunzi ni ________

kipya

vipya

mpya

jipya

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Mama yangu alinunua mikate__________ mitamu.

nne

minne

vinne

wanne

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Cheza, imba, kimbia,ruka na soma ni mifano ya ______

vitenzi

vivumishi

vielezi

nomino

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Media Image

Miguu ya kitanda au meza huitwaje?

magurudumu

matendeguu

maguu

vizingiti

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?