Soko letu

Soko letu

1st - 5th Grade

7 Qs

quiz-placeholder

Similar activities

KISWAHILI AINA ZA MANENO 2

KISWAHILI AINA ZA MANENO 2

1st - 2nd Grade

10 Qs

Kiswahili Grade 4 - Mashairi

Kiswahili Grade 4 - Mashairi

4th Grade

6 Qs

Kiswahili

Kiswahili

3rd - 4th Grade

11 Qs

HSK Phrases 11

HSK Phrases 11

2nd Grade

10 Qs

A literatura do exilio

A literatura do exilio

5th - 11th Grade

11 Qs

Präposition mit Dativ

Präposition mit Dativ

4th Grade

12 Qs

Emotionsraten

Emotionsraten

5th Grade

11 Qs

KISWAHILI AINA ZA MANENO

KISWAHILI AINA ZA MANENO

1st - 2nd Grade

10 Qs

Soko letu

Soko letu

Assessment

Quiz

World Languages

1st - 5th Grade

Medium

Created by

bekhitah gracious

Used 3+ times

FREE Resource

7 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Media Image

Hapa ni ..............

soko

sokoni

mkahawa

nyumbani

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Media Image

Mama huyu anasell mboga. Andika neno lililopigiwa mstari kwa kiswahili.

Nunua

Seli

Uza

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Seller ni ,,,,,,,,,,,

Mnunuzi

muuzaji

mteja

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Buyer ni mtu ambaye ananunua bidhaa sokoni. Kwa kiswahili anaitwa mnunuzi au.....

muuzaji

mlinzi

mteja

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Machungwa haya yanauzwa "expensive". Neno expensive ni..

bei ghali

bei kali

bei rahisi

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Media Image

Baada ya kufanya malipo,mtu hupewa kipande cha karatasi kinachoitwa....

cheti

risiti

slipu

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Media Image

Gari hili la kubebea mizigo linaitwa.........

gari la moshi

mkokoteni

pundamilia