Search Header Logo

KISWAHILI JARIBIO LA PILI

Authored by ELITE TEAM

Other

7th Grade

Used 8+ times

KISWAHILI JARIBIO LA PILI
AI

AI Actions

Add similar questions

Adjust reading levels

Convert to real-world scenario

Translate activity

More...

    Content View

    Student View

20 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

3 mins • 10 pts

Nomino ni mojawapo ya vipengele katika lugha ya Kiswahili.

Je, ni kundi lipi la nomino ambalo pia huitwa nomino mahususi?

Vitenzijina.

Nomino za pekee.

Nomino fungamano.

Nomino dhahania.

Answer explanation

Nomino za pekee ndizo ambazo huitwa nomino mahususi. Ni nomino mahususi kwa sababu zinahusu vitu maalum au spesheli.

Nomino hizi huanza kuandikwa kwa herufi kubwa hata zikiwa katikati ya sentensi.

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

1 min • 10 pts

Chagua nomino ya pekee kutoka kwa sentensi hii.

Mwalimu alipoingia darasani, Jembe alimuuliza ruhusa ya kuenda msalani.

Jembe.

Mwalimu.

Ruhusa.

Msalani.

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

3 mins • 10 pts

Chagua kitenzijina ambacho hakijaandikwa vyema.

Kula.

Kulala.

Kucheza.

Kukufa.

Answer explanation

Vitendo hivi huundwa kwa silabi moja:

-la

-fa

-ja

-nywa

Basi ili kuunda kitenzijina, unaongeza tu KU mwanzoni.

-Kula

-Kufa

-Kuja

-Kunywa

4.

FILL IN THE BLANKS QUESTION

3 mins • 10 pts

Nomino za vitu ambavyo haviwezi kuhesabika na hupatikana tu katika wingi kama vile: maji, marashi na maziwa huitwa nomino za wingi au nomino (a)  

Answer explanation

Nomino hizi pia huitwa FUNGAMANO kwa sababu vitu hivi vimeshikana. Yaani vimefungamana. Haviwezi kuwachanishwa.

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

2 mins • 10 pts

Ni sentensi ipi iliyoandikwa katika wakati uliopo hali endelezi?

Mvua ya kidindia ilikuwa ikinyesha hapa kwetu.

Mvua ya kidindia itakuwa ikinyesha hapa kwetu

Mvua ya kidindia ingali inanyesha hapa kwetu.

Mvua ya kidindia hunyesha hapa kwetu kila siku.

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

3 mins • 10 pts

Badilisha sentensi hii iwe katika wakati ujao hali timilifu.

Shule yetu imefungwa mapema sana.

Shule yetu itakuwa imefungwa mapema sana.

Shule yetu imekuwa imefungwa mapema sana.

Shule yetu itakuwa ikifungwa mapema sana.

Shule yetu ilikuwa imefungwa mapema sana.

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

3 mins • 10 pts

Sentensi zifuatazo hazijaandikwa sahihi ila moja tu.

Ni gani sahihi?

Baba wa Musa angekuwa na pesa, angalimnunulia Musa gari.

Wanafunzi wote walikuwa wanasoma kwa bidii.

Kesho, wanafunzi watakuwa wanafanya zoezi.

Mimi ningekuwa na uwezo, ningewasaidia watu maskini.

Access all questions and much more by creating a free account

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

Already have an account?