FASIHI - GREDI YA SABA

FASIHI - GREDI YA SABA

Assessment

Quiz

World Languages

7th Grade

Medium

Created by

Yaddah Okillah

Used 5+ times

FREE Resource

Student preview

quiz-placeholder

10 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 mins • 10 pts

Je, ni nini maana ya fasihi?

Fasihi ni sanaa inayotumia lugha ya kiubunifu kuwasilisha masuala yanayohusu binadamu na mazingira yake.

Fasihi ni mambo yaliyoandikwa yanayoelezea mwanzo wa kitu au jambo.

Fasihi ni nyimbo ambazo huimbiwa watoto ili walale au watulie.

Fasihi ni kitabu cha hadithi ambayo ni ndefu kuliko hadithi fupi lakini fupi kuliko riwaya.

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

3 mins • 10 pts

Kuna tanzu mbili za fasihi. Tanzu hizi ni gani?

Fasihi simulizi na novela.

Fasihi andishi na hadithi fupi.

Fasihi andishi na Fasihi simulizi.

Bembelezi na nyimbo za watoto.

3.

FILL IN THE BLANK QUESTION

5 mins • 10 pts

Mtu ambaye huwasilisha kazi ya fasihi simulizi huitwa nani?

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

5 mins • 10 pts

Watu au mtu ambaye husikiliza au kusoma kazi ya fasihi huitwa vipi?

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 mins • 10 pts

Media Image

Soma wimbo huu kwa makini kisha ujibu maswali.

Je, huu ni wimbo wa aina gani?

Wimbo wa kazi.

Wimbo wa watoto wadogo.

Wimbo wa watoto.

Bembelezi.

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

3 mins • 10 pts

Media Image

Zifuatazo ni sifa za wimbo huu isipokuwa______

Huimbwa na watoto wachanga.

Huimbwa kwa sauti ya kuongoa. Yaani, sauti ya chini.

Huimbiwa watoto wachanga

Huwa na ahadi kwa mtoto mchanga.

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

5 mins • 10 pts

Chagua sifa ambayo ni ya fasihi simulizi.

Husomewa mahali popote na wakati wowote.

Huwa na hadhira tuli.

Huwa na hadhira tendi.

Huchukua muda mrefu kurekebisha.

Create a free account and access millions of resources

Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports
or continue with
Microsoft
Apple
Others
By signing up, you agree to our Terms of Service & Privacy Policy
Already have an account?