Search Header Logo

isaya 15-21

Authored by Elly Laur

Religious Studies

Professional Development

Used 2+ times

isaya 15-21
AI

AI Actions

Add similar questions

Adjust reading levels

Convert to real-world scenario

Translate activity

More...

    Content View

    Student View

13 questions

Show all answers

1.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 3 pts

sura ya 15

kupigwa kwa Dameski na kushi na Bwana Mungu

kupigwa kwa ashuru sababu ya majivuno ya mfalme wa ashuru

kutekwa nyara kwa Yerusalemu

kungamizwa na kuharibiwa kwa moabu, majonzi na kilio

2.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 2 pts

kuwa na upaa na kunyoa ndevu kwa watu wa moabu ni ishara ya nini?

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

kiini cha sura ya 16 ni?

kuangamia na kuharibiwa kwa moabu

kuvunjika kwa Yerusalemu

shina la Yese kuchipuka

kutakaswa kwa Isaya nabii

4.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

utabiri juu ya Dameski upo sura ya ngapi?

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

kupigwa kwa Dameski na wana wa israeli katika sura ya utabiri juu yao ili kwa sababu gani?

wamemzurumu yatima na kuchukua haki ya mjane.

wameshirikiana na babeli

wamemsahau Mungu wa wokovu wao

wameshikamana na miungu migeni

6.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 4 pts

sura ya 18 ya isaya ni utabiri juu ya kushi wenye mwisho gani?

kuangamizwa kwa kushi kabisa hata mabaki yasionekane

kuliwa mabaki na hayawani wa porini na wanyama wa mbugani

kumletea Bwana wa majeshi hedaya na kumuabudu Mungu wa kweli

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

45 sec • 3 pts

sura ya 18 inaonesha utabiri wa mataifa kumrudia Mungu na kumwabudu Mungu wa kweli Bwana wa majeshi, baada kutokewa na majanga mabaya?

kweli

si kweli

Access all questions and much more by creating a free account

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

Already have an account?