Misemo ni kauli fupifupi ambazo hutumiwa na jamii kusisitiza ukweli wa jambo fulani. Kauli hizi huunganisha mawazo au dhana tofauti kuwa mwili mmoja na kupitisha ujumbe uliodhamiriwa na mnenaji au mwaandishi.
Kupata jiko - - - - - - Kuoa
Kuangusha uso---- Kupata aibu
kuenda mbwehu---- Kutoa hewa mdomoni(kuenda mbwehu ugenini ni dalili ya ulafi😂😀😀😀)
Enda msobemsobe - - - - Kuenda pasipo utaratibu. Pia bila hiari. Mf: Maria alienda dukani msobemsobe.
Enda mvange----Mambo kuenda vibaya au kuharibika
chokoza nyuki mzingani---- Kuenda palipo na hatari.
Anua majamvi/kunja majamvi---- Tamatisha jambo au kauli.
Kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa/kuvalishwa kilemba cha ukoka----- Kumpa mtu au kitu sifa zisizostahili
Bura yangu sibadili na rehani----- Ina maana kuwa hauwezi abadani kuacha chako ulichokipenda hata kama watakupa kitu kingine kipya zaidi ya kile ulichonacho
Mungu hakupi kilema akakunyima mwendo----- Tosheka na ulichonacho.
Mlevi haukubali ulevi, 😂😂😂😂. - - - - - "Je, umelewa?" Aliulizwa mlevi mmoja. "Mimi... Aaah... Mimi!.. Sijalewa mimi!! Nipo best!! 😢 😂 😀
Maji ya kifuu bahari ya chungu----- Jambo dogo humnufaisha mtu akilifanya bila kuchoka.
Je, Msemo ni nini?