Search Header Logo

mathayo 1-7

Authored by Elly Laur

Religious Studies

Professional Development

Used 1+ times

mathayo 1-7
AI

AI Actions

Add similar questions

Adjust reading levels

Convert to real-world scenario

Translate activity

More...

    Content View

    Student View

13 questions

Show all answers

1.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 2 pts

vizazi vingapi toka Ibrahim hadi kwa Yesu..................

2.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Yuda akamzaa zera na peresi kwa.........................

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Ni wanawake watano tu waliorodheshwa katika katika sura ya 1 kwenye ukoo wa Yesu wakionesha historia ya tofouti na wanawake wengine , wanawake hao ni Ruthu, Mke wa uria, Mariam, Rahabu na .......................

debora

Tamari

Rebeka

Hajiri

4.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

"Yesu akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Basi akamkubali." ni wakati gani Yesu alisema hivi..?

akitoka kwenye maombi nyikani

akibatizwa yordani

akichagua wanafunzi kumi na wawili

alipokuwa hekaruni

5.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

vitu vyote hapa duniani ni mali ya Shetani waweza kuvipata uki.............................shetani.

6.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

Watu wale waliokaa katika giza Wameona mwanga mkuu, Nao waliokaa katika nchi na uvuli wa mauti Mwanga umewazukia. maneno haya ni utimilifu wa unabii Yesu alipoenda mji gani mwanzo wa huduma yake?

7.

FILL IN THE BLANK QUESTION

1 min • 1 pt

kutokana injili ya Mathayo, Yesu alipoanza huduma alihubiri akisema

Access all questions and much more by creating a free account

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

Already have an account?