
SARUFI
Authored by Faith Akoth
Other
6th Grade
Used 1+ times

AI Actions
Add similar questions
Adjust reading levels
Convert to real-world scenario
Translate activity
More...
Content View
Student View
18 questions
Show all answers
1.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Chagua jibu ambalo ni umoja wa sentensi ifuatayo.
1) Walimu wameanza kutufundisha mada zote.
Mwalimu ameanza kunifundisha mada yote.
Mwalimu ameanza kutufundisha mada yote.
2.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
2) Chagua wingi wa sentensi ifuatayo.
Seremala ametumia randa kulainisha meza hii.
Maseremala wametumia randa kulainisha meza hii.
Maseremala wametumia randa kulainisha meza hizi.
3.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
3) Pete ni pambo linalovaliwa kwenye kidole. Chagua jibu lenye pambo linalovaliwa kwenye shingo.
Kipuli
Mkufu
4.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
Rais alipowasili mkutanoni, watu wote walisimama. Kinyume cha neno alipowasili ni:
alipoondoka
aliposhiriki
5.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
5) Halima hufanya mambo yake polepole kama kobe. Cheptoo naye ni mtulivu kama?
maji mtungini
kaburi
6.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
6) Maneno yafuatayo yanafuatana vipi katika kamusi?
i) kijiko ii) kioski iii) kichala iv) kinywa
iii, i, iv, ii
iii, i, ii, iv
7.
MULTIPLE CHOICE QUESTION
30 sec • 1 pt
7) Chagua jibu ambalo linaonyesha ukanusho wa sentensi ifuatayo:
Baba akipata pesa ataninunulia kitabu cha hadithi.
Baba asingepata pesa asingeninunulia kitabu cha hadithi.
Baba asipopata pesa hataninunulia kitabu cha hadithi.
Access all questions and much more by creating a free account
Create resources
Host any resource
Get auto-graded reports

Continue with Google

Continue with Email

Continue with Classlink

Continue with Clever
or continue with

Microsoft
%20(1).png)
Apple
Others
Already have an account?