Search Header Logo

luka 1-7

Authored by Elly Laur

Religious Studies

Professional Development

Used 1+ times

luka 1-7
AI

AI Actions

Add similar questions

Adjust reading levels

Convert to real-world scenario

Translate activity

More...

    Content View

    Student View

18 questions

Show all answers

1.

FILL IN THE BLANKS QUESTION

1 min • 5 pts

Kitabu cha Injili ya Luka, kiliandikwa maalumu kwa mtu mmoja maarufu na mwenye heshima aitwaye (a)   ?

2.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Na wote wawili walikuwa wenye haki mbele za Mungu, wakiendelea katika amri zote za Bwana na maagizo yake bila lawama.

Maneno haya ni juu akina nani?

Joseph na mariam

Zakaria na Elizabeti

3.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Kwanini malaika Gabriel alimwambia Zakaria kuwa atakuwa bubu ata mtoto amezaliwa?

Kutunza ushuhuda.

Kutoonesha kuwa ameona maono kwa watu waliokuwa nje

Kwa sababu hakusadiki yale aliyoambiwa na malaika Gabriel

4.

OPEN ENDED QUESTION

3 mins • 1 pt

Lk 1:35

[35] Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.

Kipi unajifunza hapa...

Evaluate responses using AI:

OFF

5.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.

Maneno haya katika sura ya kwanza ya Luka yalinenwa na nani kwenda kwa nani?

Gabriel kwenda kwa Yusuph baba yake Yesu

Gabriel kwenda kwa Zekaria

Gabriel kwenda kwa Mariam

Gabriel kwenda kwa Elisabeti

6.

OPEN ENDED QUESTION

3 mins • 1 pt

Unafikiri, kwanini mariam mama wa Yesu, alienda kwa Elisabeti baada ya kupata taarifa kutoka kwa malaika Gabriel na akakaa huko miezi mitatu? Tutafakari pamoja....

Evaluate responses using AI:

OFF

7.

MULTIPLE CHOICE QUESTION

30 sec • 1 pt

Maneno haya yalisemwa na nani ?

Atukuzwe Mungu juu mbinguni, Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.

Mariam alipokuwa akimwadhimisha Bwana baada ya kupata Habari njema.

Jeshi la malaika likimsifu Mungu, Mbele ya wachungaji kondeni.

Zakaria alipojazwa Roho akaanza kutabiri akimsifu Mungu.

Access all questions and much more by creating a free account

Create resources

Host any resource

Get auto-graded reports

Google

Continue with Google

Email

Continue with Email

Classlink

Continue with Classlink

Clever

Continue with Clever

or continue with

Microsoft

Microsoft

Apple

Apple

Others

Others

Already have an account?

Discover more resources for Religious Studies