WorksheetsTarakimu
Total questions: 15
Worksheet time: 7mins
Name
Class
Date
1.
What is the number 24 in Swahili?
a)
kumi na nne
b)
Ishirini
c)
Ishirini na nane
d)
Ishirini na nne
2.
Thelathini na tatu?
a)
33
b)
83
c)
63
d)
53
3.
Arubaini na saba
a)
47
b)
74
c)
87
4.
Themanini na tano
a)
35
b)
85
c)
45
5.
Mia moja na mbili
a)
108
b)
12
c)
102
6.
Sitini na tisa
a)
99
b)
69
c)
96
7.
Ishirini na nane
a)
81
b)
24
c)
28
8.
Tisini na sita
a)
96
b)
76
c)
66
9.
Thelathini na moja
a)
41
b)
31
c)
81
10.
Hamsini na tano
a)
53
b)
55
c)
75
11.
Mia moja na kumi na sita
a)
116
b)
118
c)
119
12.
Elfu mbili na kumi
a)
2001
b)
210
c)
2010
13.
Elfu moja mia tano na sitini
a)
1560
b)
1500
c)
1060
14.
684
a)
Mia sita thelathini na nne
b)
Mia tisa themanini na nne
c)
Mia sita themanini na nne
15.
3025
a)
Mia tatu, ishirini na tano
b)
Elfu tatu, ishirini na tano
c)
Elfu tatu na ishirini
100 %
