WorksheetsMtaa wa Mikocheni
Total questions: 11
Worksheet time: 6mins
Name
Class
Date
1.
Mtaa wetu wa Mikocheni una Makanisa Mangapi?
a)
4
b)
3
c)
5
d)
6
2.
Tunavyo viapo vingapi vya Ubatizo?
a)
13
b)
12
c)
10
d)
9
3.
Kabila gani la Israeli walikua Makuhani?
a)
Walawi
b)
Benjamini
c)
Yuda
d)
Manase
4.
Nani kati ya hawa hakua mwamuzi wa Israel?
a)
Samsoni
b)
Debora
c)
Gidioni
d)
Sulemani
5.
Nani alikua mfalme wa Kwanza wa Israel?
a)
Sauli
b)
Daudi
c)
Musa
d)
Joshua
6.
Ni pigo gani la kwanza Mungu aliwapiga wa Misri?
a)
Maji kua Damu
b)
Vyura
c)
Majipu
d)
Nzige
7.
Nani alikua mke wa Isaka?
a)
Rebeka
b)
Raheli
c)
Lea
d)
Sara
8.
Mungu aliumba nini siku ya kwanza?
a)
Nuru
b)
Anga
c)
Nchi Kavu
d)
Mimea
9.
Ni siku gani Yuda alimsalitu Yesu?
a)
Alhamisi
b)
Ijumaa
c)
Jumatano
10.
Wana wa Israel walizunguka miaka mingapi Jangwani
a)
40
b)
34
c)
60
d)
120
11.
Kanisa la Waadventista Wasabato linayo misingi mingapi ya Imani
a)
28
b)
12
c)
3
d)
5
100 %
