Wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

MTIHANI WA KATIKATI WA MUHULA DARASA LA 8

Total questions: 20

Worksheet time: 3600secs

Name
Class
Date
1.

je hapa ni wapi?

a)

ikoni

b)

shambani

c)

jikoni

2.

umenunua vyakula ________________?

a)

kipi

b)

yapi

c)

vipi

3.

mtoto ___________? ana lia

a)

yupi

b)

wapi

c)

ipi

4.

mmetandika mikeka ___________?

a)

ipi

b)

yapi

c)

upi

5.

umesoma vitabu _______________?

a)

ipi

b)

upi

c)

vipi

6.

sisi huenda shuleni ___________?

a)

usiku

b)

asubuhi

c)

alfajiri

7.

________________ kuna giza?

a)

adhuhuri

b)

alfajiri

c)

usiku

8.

watu hurudi kutoka kazini ______________?

a)

alasiri

b)

macheo

c)

adhuhuri

9.

______________ ni wakati wa jua kuchomoza?

a)

alasiri

b)

alfajiri

c)

jiono

10.

baada ya adhuhuri ni _____________?

a)

alfajiri

b)

magharibi

c)

alasiri

11.

tuna semaje?

a)

kuosha nywele

b)

kufuga masharubu

c)

kucheka

12.

huyu mtoto ame __________?

a)

ota jino

b)

ota ndoto

c)

ana lia

13.

huyu ana ____________?

a)

enda shuleni

b)

tembea

c)

funga safari

14.

ana ________________?

a)

ota jua

b)

lala

c)

soma

15.

usiku nili ________________?

a)

ota jino

b)

ota ndoto

c)

ota jua

16.

huyu ana _____________?

a)

vaa viatu

b)

anacheka

c)

ana lala

17.

vazi hili lina itawa ____________?

a)

suruali

b)

rinda

c)

suti

18.

hawa ni ______________?

a)

simba

b)

vifaranga

c)

ndege

19.

hili ni _____________?

a)

koti

b)

shati

c)

kaptura

20.

huyu ni _______________?

a)

mkimbiaji

b)

mchezaji

c)

mkulima