NEW
Font size
S
M
L
XL
WorksheetsMAPAMBO
Total questions: 15
Worksheet time: 8mins
Name
Class
Date
1.
Hii ni nini?
a)
kipuli
b)
tai
c)
pete
d)
ushanga
2.
Hii ni nini?
a)
ushanga na kipuli
b)
taji na herini
c)
Kikuba na bangili
3.
Pete hii imetengenezwa kwa ___________
a)
fedha
b)
dhahabu
4.
Hii ni nini?
a)
bangili
b)
pete
c)
saa
d)
herini
5.
Hizi ni nini
a)
bangili
b)
vipuli
c)
hina
d)
herini
6.
Rais msaafu Obama amevalia mapambo yapi?
a)
pete
b)
tai
c)
saa
d)
majibu yote ni sahihi
7.
Hii ni nini?
a)
mkufu wa dhahabu
b)
mkufu wa fedha
c)
Pete ya shaba
d)
Bangili ya dhahabu
8.
Hii ni nini?
a)
mkufu
b)
furungu
c)
pete
d)
bangili
9.
nini huvaliwa hapa?
a)
mkufu
b)
mguu
c)
Bangili
d)
udodi
10.
nini huvaliwa hapa?
a)
pingo
b)
kibuli
c)
tai
d)
taji
11.
Hii ni nini
a)
ushanga
b)
kidani
c)
pete
d)
mkufu
12.
Hii ni nini
a)
Miwani ya jua
b)
Taji
c)
Mkufu
d)
bangili
13.
Huu ni ____________
a)
Mkufu
b)
Mshipi
c)
Herini
d)
Taji
14.
Hii ni nini
a)
Taji
b)
Hina
c)
Mkufu
d)
Kiatu
15.
Hii ni nini
a)
kikuba
b)
kipini
c)
tai
d)
mkufu
Reset
