Worksheetsvitendawili
Total questions: 15
Worksheet time: 8mins
Name
Class
Date
1.
nyumba yangu haina mlango
a)
yai
b)
kifuli
c)
jua
2.
mimi hutembea na nyumba yangu
a)
konokono
b)
yai
c)
kifuli
3.
askari mlangoni
a)
kifuli
b)
konokono
c)
giza
4.
nyumba yangu ina nguzo moja tu
a)
uyoga
b)
kifuli
c)
yai
5.
nyumba yangu kubwa ina mlango ndogo
a)
kifuli
b)
chupa
c)
yai
6.
viti kumi nyumbani tisa vyakalika lakini kimoja hakikaliki
a)
moto/jiko
b)
chupa
c)
jivu
7.
nyumbani hapakosekani unga
a)
jivu
b)
yai
c)
kuni
8.
zulia ya mungu
a)
dunia
b)
taa
c)
jiko
9.
nyumba yangu kubwa haina taa
a)
kaburi
b)
yai
c)
chupa
10.
nyumba yangu imeezekwa kwa makuti, lakini mvua ikinyesha huvuja mno
a)
mti
b)
yai
c)
moto
11.
ubwabwa wa mwana mtamu.
a)
usingizi
b)
mchele
12.
ni mgeni wa kila mtu lakini huleta huzuni.
a)
harusi
b)
kifo
13.
ni mdogo lakini humaliza gogo
a)
shoka
b)
panga
14.
atoleapo majini hufa
a)
samaki
b)
nyoka
15.
Tik...Tik kucha kutwa
a)
kelele
b)
saa
100 %
