wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Kiswahili Grade 3

Total questions: 13

Worksheet time: 7mins

Name
Class
Date
1.

Kanusha:

Keti kitini.

a)

Usiketi kitini

b)

Utaketi kitini

c)

Simama

d)

Meza

2.

Kanusha:

Cheza darasani

a)

Cheza darasani

b)

Utacheza darsani

c)

Usicheze darasani

d)

Soma darasani

3.

Hii ni alama ya :

a)

Kivukio cha watu

b)

Alama ya hospitali

c)

Kivukio cha wanyama

d)

Kivukio cha watoto

4.

Hii ni alama ya :

a)

Kivukio cha watu

b)

Alama ya hospitali

c)

Kivukio cha wanyama

d)

Kivukio cha watoto

5.

Kuku ____________ watachinjwa.

a)

Huyu

b)

Hawa

6.

Kifaru __________ ni mkubwa.

a)

Hawa

b)

Huyu

7.

Kitendawili:

Nanywa supu, nyama natupa.

a)

Nyama

b)

Samaki

c)

Kivuli

d)

Muwa

8.

Kitendawili:

Nyoka pangoni.

a)

Mnyama

b)

Ulimi

c)

Mkono

d)

Asali

9.

Kiatu kizuri

a)

Kiliraruka

b)

Waliumia

10.

Koti zuri

a)

Alichinjwa

b)

Lilifuliwa

11.

Ni saa ngapi?

a)

Saa tano kamili

b)

Saa nne kamili

c)

Saa tatu kamili

d)

Saa sita kamili

12.

Andika kwa wingi:

Anakula chakula

a)

Wanakula chakula

b)

Wanakula vyakula

13.

Vitanda mia nne tisini na sita.

a)

496

b)

469

c)

400

d)

800