NEW
Font size
WorksheetsKiswahili viunganishi
Total questions: 25
Worksheet time: 13mins
Timu yetu ilicheza vizuri__________haikufunga bao.
ingawa
wala
Agnesi aliadhibiwa ___________ ya kosa lolote.
bighairi
kefu
______________amefika hana budi kusaidiwa.
madhali
minghairi
Naomba _________ dakika tatu niyaokoe maisha.
angaa
aghalabu
Waliamua kuhamia Unguja __________wapate amani.
ila
ili
Anadai kutumia mihadarati____________hathaminiwi na jamaa.
kwa kuwa
lau
UKIMWI haujapata dawa __________kinga madhubuti.
wala
bila
Tulilisukuma basi __________ pikipiki?
kefle
fakaifa
Mjomba alininunulia pilau __________ kuku wa kidimu.
na
bali
_________ ni majirani, hawasemezani hata.
Bali
Japokuwa
Mbiomba ni mpishi mzuri ______________ ukali wake.
mbali na
bila na
Mbilikimo huruka viunzi ____________ kuwa mfupi.
almuradi
licha ya
__________ na kula ni vyema kunywa maji.
Halafu
kando
____________ ningalimsikiliza wazimu yule nisingalipata tabu.
Lau
Walau
________ ni mwele wa UKIMWI, anaweza kufanya kazi.
Japo
Kaifa
Ninga aliimba vizuri __________ hakutangazwa mshindi.
wala
madhali
fakaifa
ila
___________ mvua kuwa nyingi, bado kuna ukosefu wa maji.
licha ya
licha na
licha kwa
licha wa
Watoto wale ni pacha _________ hawafanani.
kama
falaula
angaa
japokuwa
Kauleni amesafiri Tanga __________ Machakos.
ingawa
fakefu
walau
walakini
___________ ningalimsikiliza mama ningalifuzu.
lau
madhali
seuze
ingawaje
Ameshauriwa mara nyingi na wengi __________ ni chombo cha kuvunjika.
wala
bali
kuwa
pamwe
Askari walimshika Majisifu __________ kosa lolote.
bighairi ya
bila na
bila kwa
aidha
Wema alimwomba dada yake ___________ shilingi ashara za kununulia uji.
aghalabu
angalau
japokuwa
almuradi
Jumba la Guru Wallah ni kubwa ____________ kasri.
kama la
falau na
zaidi ya
kefu ya
_________ kuwa mtangazaji, Sakwa _________ ni mwandishi.
mbali na, aitha
mbali ya, aidha
mbali ya, aitha
mbali na, aidha
