WorksheetsKiswahili Gredi ya 4 - Ni methali gani yenye maana hii?
Total questions: 7
Worksheet time: 4mins
Walimfunza kuwa karimu na walimwambia kila wakati ashirikiane na wengine.
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
Samaki mkunje angali mbichi.
Walianza kumlea vyema na kumpa ushauri tangu akiwa mtoto mdogo sana.
Shingo haipiti kichwa.
Samaki mkunje angali mbichi
Yeye ana heshima kwa wakubwa na wadogo wake.
Heshima si utumwa.
Mtoto wa nyoka ni nyoka.
Alikua mwenye heshima na mnyenyekevu. Alifuata tabia za wazazi wake.
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Mtoto wa nyoka ni nyoka.
Wazazi wa Adili walikuwa waandishi hodari wa vitabu vya ushauri nasaha. Adili pia alianza kuwa mwandishi hodari wa insha darasani.
Shingo haipiti kichwa.
mwana akibebwa hutazama kisogo cha nina.
Adili aliambiwa kila wakati ashirikiane na wengine.
Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
Mwana wa kuku hafunzwi kuchkura.
Adili aliambiwa na wazazi wake kuwa awe mtiifu kwa walimu wake na watu wazima.
Mkono mmoja haulei mwana.
Mwana wa kuku hafunzwi kuchakura.
