wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Kiswahili Gredi ya 3 - Mazingira

Total questions: 10

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.

Tunatumia ______________________ kukusanya taka.

a)

kifyekeo

b)

reki

2.

Tunatumia ___________________ kufagia darasa.

a)

ufagio

b)

baro

3.

Amina hutupa taka ndani ya ________________.

a)

pipa

b)

darasa

4.

Baba anafyeka akitumia ____________________

a)

reki

b)

kifyekeo

5.

Ni vizuri kuweka mazingira yetu ____________ kila wakati.

a)

masafi

b)

safi

6.

Andika vizuri: embej

(a)  

7.

Andika vizuri: onod

(a)  

8.

Andika vizuri: ofigau

(a)  

9.

Mbu hueneza ugonjwa wa (a)  

10.

Mbu huishi kwenye (a)   yenye maji iliyotupwa kwenye mazingira.