wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Marudio

Total questions: 10

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.

Taja umbo

a)

duara dufu

b)

pembe tatu

c)

duara

2.

Kiti ni cha rangi gani?

a)

Nyeupe

b)

nyekundu

c)

samawati

3.

Hii ni sehemu gani ya mwili?

a)

Jicho

b)

sikio

c)

mguu

4.

Taja jina la umbo

a)

Mraba

b)

pembe tatu

c)

mstatili

5.
a)

Picha ni wa rangi gani

b)

Samawati

c)

kijani kibichi

d)

nyekundu

6.

Taja sehemu ya mwili

a)

mkono

b)

goti

c)

kichwa

7.

Viatu ni vya rangi gani?

a)

nyeupe

b)

manjano

c)

nyeusi

8.

Hii ni sehemu gani ya mwili?

a)

mdomo

b)

pua

c)

ulimi

9.

Hili ni umbo gani?

a)

pembe tatu

b)

mraba

c)

mstatili

10.

Ndizi ni za rangi gani?

a)

samawati

b)

manjano

c)

machugwa