Font size
S
M
L
XL
WorksheetsHHS Class 6 vitawe
Total questions: 10
Worksheet time: 10mins
Name
Class
Date
1.
Ninajua ala mfuko wa kuwekea kisu.pia ala,neno la kuonyesha mshangao.Je unajua ala nyingine gani?
(a)
2.
Kuna nyanya, aina ya mboga.Je maana nyingine ya nyanya ni? (a)
3.
Ninajua jana siku kabla ya leo.Pia Kuna jana (a)
4.
Shika ni sawa na teremka.Shuka vilevile ni (a)
5.
Bila shaka unamjua mbuzi mnyama wa nyumbani.Je,pia mbuzi ni (a)
6.
Chupa ni sawa na kuruka,Pia chupa ni (a)
7.
Ndovu pia huitwa tembo.Tembo pia ni (a)
8.
Unaelewa pass ni sehemu ya juu ya nyumba upande wa nje.Vilevile paa ni (a)
9.
Kima ni mnyama wa jamii ya tumbili.Kima pia ni (a)
10.
Maji mengi yakifuata mkondo huitwa mto.Je mto mwingine ni (a)
Reset
