WorksheetsMaamkizi
Total questions: 14
Worksheet time: 7mins
Name
Class
Date
1.
Hujambo
a)
poa
b)
sijambo
c)
nzuri
2.
Habari yako?
a)
nzuri
b)
mzuri
c)
njema
3.
habari za utokako?
a)
kwema,
b)
poa
c)
safi
4.
shikamoo?
a)
marasaba
b)
marahaba
c)
mzuri
5.
habari za adhuhuri?
a)
niko tu
b)
powa
c)
njema
6.
lala salama
a)
sawa
b)
njema
c)
nawe pia ,lala salama.
7.
kwaheri
a)
kwaheri ya kuonana
b)
tuonane
c)
sawa
8.
habari yako?
a)
niko
b)
vizuri
c)
nzuri
9.
umelalaje ?
a)
kwema
b)
hivyo tu
c)
salama
10.
hujambo kaka
a)
sijambo dada
b)
mzuri
c)
sema
11.
uhali gani leo?
a)
sijiskii vizuri
b)
nilienda hospitali
c)
nimechoka
12.
sijiskii vizuri
a)
pole.
b)
Asante
c)
kwaheri
13.
Neno lipi si la adabu?
a)
Nataka
b)
Amejifungua
c)
Samahani
d)
Kunradhi
14.
Yapi ni maamkizi ya mdogo kwa aliyemzidi umri?
a)
Mambo?
b)
Hujambo?
c)
Shikamoo?
d)
Niaje?
100 %
