wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Sentensi

Total questions: 10

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.

Kundi nomino pia hujulikana kama

a)

kishazi

b)

kiima

c)

kiarifa

2.

Kiarifa ni sehemu gani ya sentensi

a)

kishazi

b)

kiima

c)

KN

d)

KT

3.

Kuna aina tatu za sentensi

a)

ndio

b)

la

4.

Kishazi huru ni sawa na sentensi kamili

a)

ndio

b)

la

5.

Sehemu ya sentensi inayochukua nafasi ya kielezi ni?

a)

kiarifa

b)

chagizo

c)

Kiima

6.

Shamirisho na yambwa ni nomino zinazochukua nafasi mbalimbali katika sentensi

a)

ndio

b)

la

7.

Sentensi iliyo na kishazi tegemezi ni sentensi ya aina gani

a)

changamano

b)

ambatano

8.

Chagua shamirisho kipozi. Mwalimu alimwandalia wanafunzi mtihani

a)

mwalimu

b)

mwanafunzi

c)

mtihani

9.

Chagua yambwa tendwa. Arsenal ilichapwa na manchester pamoja na city

a)

Arsenal

b)

Manchester

c)

City

10.

Chagua shamirisho ala. Nimeelewa Kiswahili kupitia kwa vipindi vya zoom

a)

Kiswahili

b)

Vipindi vya zoom