Wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Kiswahili

Total questions: 15

Worksheet time: 8mins

Name
Class
Date
1.

Mshukiwa huwekwa______kabla kesi yake haijakamilika.

a)

Jela

b)

Rumande

c)

Kizimbani

d)

Kizuizini

2.

Kiungo cha mwili kinachotakasa damu ni

a)

Ini

b)

Moyo

c)

Figo

d)

Pafu

3.

Mlango umeJifunga.Kiambishi "ji"kimetumiwa kuonyesha.

a)

Mtendaji

b)

Kirejeshi

c)

Hali

d)

Ukubwa

4.

Chagua kifaa cha uhunzi

a)

Fuawe

b)

Patasi

c)

Timazi

d)

Chetezo

e)

Hakuna jibu

5.

Ni kundi lipi lenye sauti ghuna pekee?

a)

p,t,z

b)

v,th,n

c)

sh,l,w

d)

b,d,g

6.

Mkono wazi ni kwa ukarimu ilhali______ni kwa India.

a)

Jicho la nje

b)

Joka la Mdimu

c)

Kisebusebu

7.

Chagua neno lililotumia silabi Changamano:

a)

Mbuga

b)

Kituta

c)

ziwa

d)

Utulivu

8.

Fahamikiana kama

a)

Sahani na kawa

b)

Kinu na mchi

c)

Pua na mdomo

d)

Tui na maziwa

9.

Miaka mia ni kwa karne ilhali vitu ishirini ni kwa

a)

Kikwi

b)

Korija

c)

Lukuki

d)

Mwongo

10.

Nomino dhahania kutokana na kivumishi bora ni

a)

Boreka

b)

Uboreshaji

c)

Kuboreka

d)

Boresha

11.

Buibui ni kwa utando ilhali,_____ni kwa mchwa

a)

Kishirazi

b)

Kizimba

c)

Tundu

d)

Mchangani

12.

Jua la mtikati huwa wakati wa

a)

Mchana

b)

Macheo

c)

Alasiri

d)

Adhuhuri

13.

Matunda yamejaa sokoni

a)

Chepechepe

b)

Pomoni

c)

Nomi

d)

Tiki

14.

Meno hushikiliwa na nyama zinazoitwa:

a)

Taya

b)

Shavu

c)

Kakaa

d)

Ufizi

15.

Mtoto wa umbu huitwa

a)

Mpwa

b)

Mkoi

c)

Ndugu

d)

Binamu