NEW
Font size
WorksheetsKiswahili
Total questions: 12
Worksheet time: 6mins
Chagua kisawe cha neno jela
Mahakama
Gereza
Husuni
Rumande
Mtu anayeshukiwa kufanya uhalifu wowote huitwa?
Mtuhumiwa
Mwizi
Mhalifu
Mshtakiwa
Mahali ambapo mshtakiwa huzuiliwa kesi yake ikiendelea kusikilizwa huitwaje?
Mahakama
Jela
Rumande
Seli
Jina jingine la jaji
Hakimu
Kadhi
Jela
Daawa
Huandika na kuweka nyaraka za mahakama.
Karani wa mahakama
Kiongozi wa mahakama
Mshtakiwa
Karani
Mshukiwa anapokamatwa na polisi hutiwa_______mikononi
Minyororo
Kamba
Pingu
Jela
Mtu aliyefungiwa rumande huitwa_________
Mtuhumiwa
Mshukiwa
Wakili
Mahabusu
Hakimu wa kiislamu huitwa _______
Kadhi
Wakili
Shehe
Mohamed
Kesi inapopigwa horomo ,yaani kusemekana isikilizwe siku nyingine huwa_____
Imeahairishwa
Imehairishwa
Jina jingine la kesi ni _____
Daawa
Dawa
Adhabu anayopewa mshtakiwa aliyepatikana na hatia yaweza kuwa
Kufungwa jela
Kuachiliwa huru
Kutiwa mbaroni.
Kizimba ni mahali ambapo____husimama
Mshukiwa
Mshtakiwa
