WorksheetsViashiria
Total questions: 15
Worksheet time: 30mins
Mtoto (a) ndiye aliyeadhibiwa na mwalimu
Kiatu (a) kilichotumika ndicho kilichoraruka
Ubele (a) ulitumika na mganga hodari.
Maradhi (a) ya korona bado hayana tiba.
Nyumbani (a) ndimo mlimooshwa na Chausiku.
Kucheza (a) ndiko kulikokatazwa na mwalimu.
Uamuzi ufaao utatolewa na mahakama (a)
Siipendi timu (a) ya Manchester. Ina wachezaji wenye mchezo mbaya.
Maji (a) yalipomwagika, mtoto aliteleza na kuanguka chini pu!
Sipendi kula sima (a) ya wimbi. Niletee ya unga wa mahindi.
Vijiko (a) vya mapishi vinametameta sana.
Nywele (a) za watoto zinapendeza watu wengi.
Mayai (a) ya ndege si matamu kama ya kuku.
Ninafanya mazoezi ili mwili wangu uweze kuwa kama (a) .
Kiziwi (a) ana masikio ila hayatumii jamani.
