WorksheetsKiswahili-Nicole
Total questions: 20
Worksheet time: 2hrs 40mins
Huyu ni
Simba
paka
Taja jina
Pete
kengele
Hii ni nini?
Nanasi
Ndizi
HIvi ni?
vitabu
viti
Hiki ni ?
Kitabu
kisu
Umeamkaje?
Nimeamka salama
Nimelala salama
Nimeshinda vizuri
Nimeamka tu
Habari yako _________?
Nzuri
Mzuri
Asante
Poa
Mama anafanya nini _________?
Anakula
Anacheza
Anapika
Anacheza
Anafanya nini ________?
Anakimbia
Analala
Anacheza
Anatembea
Jibu maamkuzi haya: Hujambo?
Njema
Sijambo
Nzuri
marahaba
Ni maamkuzi gani tunawapa wazee?
Jambo?
Habari yako?
Shikamoo?
U hali gani?
Wakati unapotaka kusaidiwa na mtu, unatumia neno gani la adabu kuomba?
Tafadhali.
Asante
Bwana
Bibi
Nambari hii husomwaje kwa maneno? 27
(a)
Ndege anayefugwa nyumbani na hutupa mayai huitwaje
(a)
Hujambo?.....................................
Sina la kuamba
Sijambo
shikamoo
Hatujambo
1.Shikamoo?...............................................................................
Nzuri
Marahaba
Sijambo
Vyema
Andika kwa maneno
86
Themanini na sita
Thelathini na sita
Thelathini na tisa
Themanini na sita
Andika kwa wingi:
mimi ni mwalimu
Sisi ni walimu
Mimi ni walimu
Sisi ni walimu
Mimi ni mwalimu
Andika kwa wingi:
Mimi ni msichana
Sisi ni wasichana
Mimi ni wasichana
Mimi ni msichana
Sisi ni msichana
Andika kwa wingi:
Yeye ni mwizi
Wao ni wezi
Hao ni waizi
Hao ni wezi
Wao ni waizi
