NEW
Font size
WorksheetsKISWAHILI- (TUMIA -ENYE au -ENYEWE
Total questions: 15
Worksheet time: 8mins
Watoto waliwaangusha wanasesere __________ chini kutokana na hasira.
wote
wowote
wenye
wenyewe
Gari_________lilikwama matopeni.
lenye
lenyewe
yenye
yenyewe
Maji _____________ uchafu hayafai kunyweka asilani.
yenye
yenyewe
penye
penyewe
___________ hakuelewa ndiposa akauliza swali.
Mwenye
Mwenyewe
Yeye
Wenyewe
Juma alisema kuwa ndege ya gavana ilianguka __________
huko
yenyewe
msituni
mwenyewe
Ulafi wa fisi humponza yeye ________
pekee
peke yake
mwenyewe
mwenye
Kipepeo ________ rangi nyekundu kilitumika kupepeta jiko.
Mwenye
mwenyewe
chenye
chenyewe
Kiboko ______ ukali alimrarua raruraru mvuvi aliyekuwa baharini.
chenye
chenyewe
mwenye
mwenyewe
___________ kumebomoka. Usikutembelee tafadhali.
Kwenye
Kwenyewe
Penye
Penyewe
Usikishike kijiko________, kitakuchoma mkononi.
chenye
chenyewe
mwenye
mwenyewe
Shimo lililochimbika ________ limezibwa na mafundi stadi.
lenye
lenyewe
yenye
yenyewe
______________ naumwa.
Mwenye
Mwenyewe
Mimi
Jamani
Njoo kwangu wewe_________
peke yako
pekee
mwenye
mwenyewe
Chunga jivu ________ lisikuingie machoni.
hilo
nyingi
lenyewe
lenye
Mahakama ________ jaji huheshimiwa sana kuliko isiyo nayo.
yenyewe
na
pamoja
kwenye
