wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Methali

Total questions: 10

Worksheet time: 5mins

Name
Class
Date
1.

Mtaka cha mvunguni?

a)

sharti ainame

b)

hula nyama mbivu

2.

Haraka harak

a)

utafika haraka

b)

haina baraka

3.

Mkono mmoja

a)

haichinji ngo'mbe

b)

inauma

4.

Ajidhaniaye kasimama

a)

aangalie asianguke

b)

amesimama wima

5.

Mpanda ngazi

a)

huchoka

b)

Hushuka

6.

Jifya moja

a)

Haliinjiki chungu.

b)

Haipiki

7.

Achanikae kwenye mpini wa jembe

a)

Hufaa njaa

b)

Hafi njaa

8.

Mgaa gaa na upwa

a)

hula ugali

b)

hali wali mkavu

9.

Mvumilivu

a)

hula nyama mbivu

b)

hulala

10.

Zito hufatiwa

a)

na jepesi

b)

na nzito