wayground logo

Free Printable Worksheets

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Year 8 Kiswahili

Total questions: 16

Worksheet time: 8mins

Name
Class
Date
1.

Ni lipi jibu la salamu "shikamoo"?

a)

Sijambo

b)

Marahaba

c)

Njema

d)

Nzuri.

2.

Jibu "sina la kuamba" ni la salamu ipi?

a)

Waambaje?

b)

Hujambo?

c)

Shikamoo?

d)

Habari za mchana?

3.

Neno "embe" liko katika ngeli gani?

a)

A-WA

b)

U-I

c)

LI-YA

d)

U-ZI

4.

Neno "daktari" liko katika ngeli gani?

a)

I-ZI

b)

LI-YA

c)

A-WA

d)

YA-YA

5.

Andika wingi wa sentensi hii ukizingatia ngeli ya nomino iliyopigia mstari.

"Marashi yalimwagika sakafuni jana jioni"

a)

Mamarashi yalimwagika sakafuni jana jioni.

b)

Marashi zilimwagika sakafuni jana jioni

c)

Marashi ilimwagika sakafuni jana jioni

d)

Marashi yalimwagika sakafuni jana jioni.

6.

Taja kinyume cha neno "andika".

a)

Andua

b)

Futa

c)

Usiandike

d)

Usifute

7.

Kinyume cha "cheka" ni?

a)

Chekesha

b)

Chekacheka

c)

Lia

d)

Lilisha

8.

Ni mtu yupi kati ya hawa hapatikani mahakamani?

a)

Wakili

b)

Jaji

c)

Seremala

d)

Mshtaki

9.

Kutoa uamuzi wa kesi iliyoletwa mahakamani ni kazi ya nani?

a)

Wakili

b)

Mshtaki

c)

Mshtakiwa

d)

Hakimu

10.

Sehemu inayotumika wakati wa kutoa ushahidi mahakamani hujulikana kama?

a)

Foleni

b)

Jukwaa

c)

Kizimbani

d)

Mahakamani

11.

Mazungumzo baina ya watu wawili ambapo mmoja huuliza maswali na mwingine hujibu huitwaje?

a)

Majadiliano

b)

Mazungumzo

c)

Mahojiano

d)

Maswali

12.

Yule anayeuliza maswali katika mahojiano anaitwa?

a)

Mhojiwa

b)

Mzungumzaji

c)

Mhoji

13.

Mtu anayetumia mbao kuunda vitu mbalimbali anaitwaje?

a)

Mhandisi

b)

Mfinyanzi

c)

Seremala

d)

Mkalimani

14.

Ni ipi kazi ya mtu huyu?

a)

Kuwatibu wagonjwa

b)

Kuwauguza wagonjwa

c)

Kuosha choo

d)

Kupika chakula hospitalini.

15.

Mtu huyu anaitwaje?

a)

Fundi

b)

Mhandisi

c)

Mhasibu

d)

Mchoraji

16.

Chagua kazi mojawapo ya hizi anayoifanya katibu wa kampuni.

a)

Kujibu simu za kampuni

b)

Kuwafuta wafanyikazi kazi

c)

Kuwaandika watu kazi

d)

Kuwapa wafanyikazi likizo