wayground logo

Free Printable Worksheets

NEW

Font size

S
M
L
XL
Worksheets

Kiswahili-Nomino za makundi

Total questions: 20

Worksheet time: 10mins

Name
Class
Date
1.

___________________ ya miti

a)

msitu

b)

fundo

c)

jaa

d)

mkusanyiko

2.

__________________ la maji

a)

jaa

b)

msitu

c)

fundo

d)

tangi

3.

________________ ya watu

a)

umati

b)

jaa

c)

fundo

d)

kikoa

4.

________________ ya watoto

a)

umati

b)

msitu

c)

mkururo

d)

tabia

5.

--------------------la takataka

a)

jamii

b)

jaa

c)

mkusanyiko

d)

taka

6.

_________________ ya vyatu

a)

jamii

b)

jaa

c)

jozi

d)

pea

7.

_________________ la ndizi

a)

jamii

b)

chane

c)

mgomba

d)

mkungu

8.

________________ samaki

a)

hombo

b)

fundo

c)

mlolongo

d)

jamii

9.

_________________ ya vitabu

a)

jozi

b)

mkururo

c)

matopa

d)

maktaba

10.

___________ ya maua

a)

fundo

b)

shada

c)

jamii

d)

kigaro

11.

polisi wengi walikuja kuniokoa kutoka hatarini---------------------

a)

kigaro

b)

kikoa

c)

kikosi

d)

kundi

12.

wachezaji kadanda wamewasili--------------------

a)

kikosi

b)

kikoa

c)

mzengwe

d)

spoti

13.

waimbaji wetu walitumbuiza

a)

kikoa

b)

Thurea

c)

Sauti sol

d)

shada

14.

kwetu kuna milima mingi---------------

a)

mabonde

b)

safu

c)

matopa

d)

mkusanyiko

15.

wezi wengi walikamatwa kijijini---------

a)

gange

b)

kikosi

c)

maharamia

d)

genge

16.

Natasha amenunua leso nyingi-------

a)

msoa

b)

safu

c)

doti

d)

kikonyo

17.

Chantal amepokea barua nyingi---------

a)

kipeto

b)

mwongo

c)

furushi

d)

chemchemi

18.

watu wengi walihudhuria harusi ya Mwendawazimu Timamu---------------

a)

umati

b)

mzengwe

c)

mlolongo

d)

watazamaji

19.

Angela anatazama nyota nyingi angani------

a)

thurea

b)

chemchemi

c)

mkusanyiko

d)

funda

20.

Stacy amezifuga nywele zake nyingi vizuri--------

a)

kikosi

b)

mwongo

c)

jamii

d)

shungi