WorksheetsI look healthy
Total questions: 7
Worksheet time: 3mins
Name
Class
Date
1.
Dhana ni tafsiri ya neno lipi?
a)
Key Concept
b)
Concept
c)
Idea
d)
None
2.
Katika Kiswahili, kuna dhana tano kuu.
a)
Kweli
b)
Si Kweli
3.
Ipi si dhana kuu?
a)
Mawasiliano
b)
Utamaduni
c)
Mabadiliko
d)
Ubunifu
4.
Muktadha ni--------------?
a)
Dhana ndogo
b)
Dhana kuu
c)
Muktadha wa ulimwengu
d)
Kauli ya uchunguzi
5.
Tafsiri neno hili. Accent
a)
Muundo
b)
Dhima
c)
Ujumbe
d)
Lafudhi
6.
Katika mfumo wa IB kuna miktadha sita ya ulimwegu.
a)
Kweli
b)
Si Kweli
7.
Chagua Miktadha miwili ya ulimwengu.
a)
Systems and change
b)
Globalization and sustainability
c)
Scientific and technical innovation
d)
Time, place and space
100 %
