WorksheetsKISWAHILI DARASA LA SABA
Total questions: 20
Worksheet time: 7mins
Chagua sentensi inayoonyesha maana ya vitate.
Bawabu alimpatia bawaba ufunguo wake
Mchuuzi yule alipewa mchuzi mtamu wa nyama
Mjuzi yule ana ujusi mwingi wa ujenzi
Katika doa ile palikuwa na ndoa
Chagua sifa tasa katika sentensi zifuatazo.
Nywele nyingine hazijachanwa
Ondoa ufito huo mrefu hapo
Kalamu hii ni ghali mno usiichezee
Chai hii ni tamu mno
Milioni moja, moja elfu na mia moja huandikwaje kwa tarakimi?
1, 001,100
1,100,101
111,001
1,110,100
.Kamilisha methali; Ngombe wa maskini______ A. B. C. D.
Ni mnyonge
Hakamuliwi asilani
Hazai jike
Hazai mapacha
Kitendawili tega; wafu wanakokotana
Mboga
Jahazi na tanga
Kufuli
Mkufu
Asile mtoto chakula _______kupashwa moto.
Seuze
Ila
Ijapo
Mighairi ya
Dada na kaka huitana
Mpwa
Binamu
Umbu
Kivyele
Ni nini kinyume cha neno nuna?
Furahi
Kasirika
Nunua
Tabasamu
.Sehemu ya nchi kavu iliyozungukwa na maji mengi huitwa
Bara
Bandari
Kilindi
Kisiwa
Umbo hili ni
Mche mstatili
mstatili
mche mraba
Hori
Ni sentensi ipi inayoonyesha KI ya masharti ?
Kijito chenyewe ni kidogo
Kichwa chake kimefura kisogoni
Alinipata nikidurusu Kiswahili
Ukijiona sana huenda hutafanikiwa
Chagua sentensi iliyotumia viulizi kwa njia bora zaidi
Uliniuliza aje jana?
Alikuwa mtoto mgani?
Atakuja lini?
Ulikitumia kisu kigani?
Chagua nomino isiyoambata miongoni mwa hizi.
Batamzinga
Kwasababu
Garimoshi
Njiwamanga
Neno kasisi liko katika ngeli gani?
a-wa
i-zi
li-ya
u-zi
Kisebeho huliwa wakati gani?
Adhuhuri
Mchana
Usiku
Alfajiri
Bahaimu ni wanyama wenye miguu minne ilhali wanyama walao nyama na mimea ni _______
kiradi
mlawangi
chelemea
wagwizi
Je, alama hii ya barabara humaanisha nini?
hatari mbele
hakuna njia
peana njia
hakuna kuingia wala kutoka
Yavuyavu la kutakasa hewa mwilini huitwa _____
buhumu
goko
kibole
nso
Mboga ya majani ya muhogo huitwa ________
kibwando
kimamvu
matembele
myugwa
Rangi iliyo chini ya liudi au upinde wa mvua ni ______
chanikiwiti
urujuani
zambarau
hudhurungi
