WorksheetsNgeli
Total questions: 10
Worksheet time: 4mins
Name
Class
Date
1.
Ngeli ya A-WA
a)
Ni ngeli ya vifaa
b)
ni ngeli ya udogo wa majina
c)
Ni ngeli ya viumbe wenye uhai
d)
Hakuna ngeli kama hii
2.
Maneno haya yako katika ngeli ya A-WA isipokuwa?
a)
Chura
b)
Abiria
c)
Mjomba
d)
Mti
3.
Neno lipi halipo katika ngeli ya KI-VI?
a)
Kijiti
b)
Chupa
c)
Chombo
d)
Kioo
4.
Maneno mengine katika ngeli ya KI-VI huanza kwa /CH/ katika umoja na /VY/ katika wingi.
a)
Si kweli
b)
Kweli
5.
Chagua maneno yaliyo katika ngeli ya KI-VI
a)
Kiatu
b)
Kilimo
c)
Chumba
d)
Chungwa
e)
Kigombe
6.
Ni ngeli ipi ambayo huchukua maneno yanayoanza kwa sauti /MA/ katika wingi?
a)
LI-YA
b)
KI-VI
c)
A-WA
d)
U-I
7.
Neno Gari liko katika ngeli ya U-I
a)
Kweli
b)
Si Kweli
8.
Andika wingi wa neno mtu
(a)
9.
Andika wingi wa neno gari
(a)
10.
Chagua maneno katika ngeli ya LI-YA
a)
Gari
b)
Tunda
c)
Chupa
d)
Embe
100 %
