WorksheetsDpc Luke 21-24 quiz
Total questions: 15
Worksheet time: 8mins
Situation question: who said these words, and to whom did he say them to?"Look at the fig tree and all the trees"?
[Swali la hali: ni nani aliyesema maneno haya, na aliwaambia nani? "Angalia mtini na miti yote"?
Jesus said to all the people
Yesu aliwaambia watu wote
Jesus said to all His disciples
Yesu aliwaambia wanafunzi wake wote
Jesus said to some of His disciples
Yesu aliwaambia Baadhi ya wanafunzi wake
Jesus said to the pharisees
Yesu aliwaambia mafarisayo
According to Luke, what did the poor widow put in?
Kulingana na Luka, mjane masikini aliweka nini?
Two very small silver coins.
Sarafu mbili ndogo sana za fedha.
Two very small gold stones.
Mawe mawili madogo sana ya dhahabu.
Two very small copper coins.
Sarafu mbili ndogo sana za shaba.
Two very small stone coins.
Sarafu mbili ndogo sana za mawe.
When Jesus went out to spend the night on the hill, what was the name of the mountain?
Yesu alitoka kwenda kulala usiku kwenye kilima, jina la mlima lilikuwa ni nini?
Ararat
Ararat
Sinai
Sinai
Olives
Mizeituni
Everest
Everest
Finish this verse: "When these things begin to. . . "
Maliza kifungu hiki: "Wakati mambo haya yanaanza ..."
". . . take place, stand up and lift up your hands, because your redemption is drawing near.
".. chukua nafasi yako, simama na inua mikono yako, kwa sababu ukombozi wako unakaribia."
". . . take place, stand up and lift up your heads, and hands, because your redemption is drawing near."
"... chukua nafasi yako, simameni na kuinua vichwa vyenu, na mikono, kwa sababu ukombozi wenu unakaribia."
". . . take place, stand up and lift up your heads, because your redemption is drawing near."
"... chukua nafasi yako, simameni na kuinua vichwa vyenu, kwa sababu ukombozi wenu unakaribia."
". . . take place, stand up and lift up your heads, and legs because your redemption is drawing near."
". ... chukua nafasi yako, simameni na kuinua vichwa vyenu, na miguu kwa sababu ukombozi wenu unakaribia. "
According to Luke, Who was led before the council of the elders of the people, both the chief priests and the teachers of the law?
Kulingana na Luka, Ni nani aliyepelekwa mbele ya baraza la wazee wa watu, makuhani wakuu na walimu wa sheria?
John
Yohana
Judas
Yuda
Jesus
Yesu
Paul
Paulo
According to Luke, what did Jesus ask them?
Kulingana na Luka, Yesu aliwauliza nini?
Why are you not praying?
Kwnini hamuombi?
Why are you not sleeping?
Kwanini hamlali?
Why are you sleeping?
Kwanini Malala?
What are you doing here?
Mnafanya mini hapa?
What did the chief priests and the officers of the temple guard agree to give Judas?
Je! Makuhani wakuu na maafisa wa walinzi wa hekalu walikubali kumpa Yuda nini?
Pieces of silver
Vipande vya fedha
Pieces of gold
Vipande vya dhahabu
Money
Pesa
Pieces of copper
Vipande vya shaba
According to Luke, chapter 22, verse 34, what will Peter do?
Kulingana na Luka, sura ya 22, aya ya 34, Petro alifanya nini?
Cry out and repent for denying Jeses
Paza sauti na utubu kwa kumkana Yesu
He heard the sound of the cock
Alisikia sauti ya jogoo
Deny three times that he doesn't know Jesus
Alimkana Yesu mara 3
Go after Jesus
Alimfwata Yesu
Luke began his infancy narrative with the birth of?
Luka alianza hadithi yake ya utoto na kuzaliwa kwa?
John the baptist
Yohana mbatizaji
Jesus Christ
Yesu Kristo
Mary mother of Jesus
Maria mama wa Yesu
Joseph father of Jesus
Yosefu baba wa Yesu
Who were John the baptist parents?
Wazazi wa Yohana Mbatizaji walikuwa akina nani?
Zachariah and Anna
Zakaria na Anna
Elizabeth and Jeremiah
Elizabeth na Yeremia
Jeremiah and Anna
Yeremia na Anna
Zechariah and Elizabeth
Zakaria na Elizabeth
An angel announced the birth of Jesus to a group of?
Malaika alitangaza kuzaliwa kwa Yesu kwa kundi la?
Pharisees
Mafarisayo
Sheperds
Wachungaji
Farmers
Wakulima
Angels
Malaika
From where was a village called Emmaus about seven miles away?
Kutoka wapi kijiji kilichoitwa Emmaus kilikuwa na umbali wa kama maili saba?
Bethlehem
Bethlehemu
Israel
Israeli
Jerusalem
Yerusalemu
Canaan
Kanaani
Whose words seemed like nonsense to the apostles?
Ni maneno ya nani kwa mitume alionekana kama upuuzi?
The disciples words
Maneno ya wanafunzi
The men's words
Maneno ya wanaume
The women's words
Maneno ya wanawake
The pharisees words
Maneno ya wafarisayo
Who were kept from recognizing Jesus?
Ni wakina nani walizuiwa kumtambua Yesu?
Those going to Bethlehem
Wale wanaokwenda Bethlehemu
Those going to Judea
Wale wanaokwenda Yudea
Those going to Emmaus
Wanaokwenda Emmaus
Those going to Jerusalem
Wale wanaokwenda Yerusalemu
Who will suffer and rise from the dead on the third day?
Nani atateseka na kufufuka kutoka kwa wafu siku ya tatu?
Simon
Simoni
John
Yohana
The Messiah
Masihi
Moses
Musa
