NEW
Font size
WorksheetsSIKU NJEMA
Total questions: 11
Worksheet time: 33mins
Mhusika mkuu katika hadithi ya Siku Njema alikuwa na wanuna wangapi?
Wawili
Wanne
Sufuri
Mmoja
Chagua neno baki.
zani
aula
-ema
bora
Mama yake Msanifu Kombo alikuwa na wanuna wangapi?
Mmoja
Watatu
Wawili
Kumi na wawili
Je, Msanifu Kombo alikosa sifa gani kati ya hizi?
papara
upole
bidii
huruma
Chagua maelezo yaliyo sahihi
Mamaye Mswahili alikuwa mke wa mwisho katika famila ya Makame
Baada ya kifo cha mumewe, Zainabu aliamua kurudi alikozaliwa na hakuolewa tena.
Ndoa kati ya Juma Mkosi na Zainabu makame aliharibika kwa sababu ya dini
Bibi wa Kongowea alikuwa katika ndoa ya mitara
Taja jina rasmi la mhusika mkuu
Kongowea Mswahili
Selemani Mapunda
Vumilia Binti Abdalla
Msanifu Kombo
Kati ya wahusika hawa, ni yupi aliyewahi kumnyanganya Mswahili nguo alipokuwa akishtaki uchafu?
Amina
Vumilia
Selemani
MwanaSaumu
Bi. Rahma ndiye aliyepanga mpango na mwanaSaumu ili kijana mwingine aweze kurithi mali ya Mswahili. Je, Kijana huyu aipata mashaka yapi?
Kupotea njia
alipatwa na mauko
Aliibiwa pesa zake zote
Alipata ajali akalazwa hospitalini kwa muda mrefu.
Chagua jibu sahihi
MwanaSaumu alikuwa mke mwenza wa Zainabu makame
Mwanasaumu alikuwa mkazahau wa mjomba Salim
Kongowea mswahili hakuwahi kumwona babu yake Makame wa Makame
Kabla ya kifo cha mamaye, Kongowea aliishi maisha ya raha na starehe.
Chagua msamiati usiombatana na Ushairi
rukwama
Diwani
Mghani
inkisari
Chagua madai ya kweli kulingana na hadithi ya Siku Njema
Babu yake Kongowea alikuwa na wake wapatao ishirini.
Kabla ya kifo cha babu yake, mji huo ulikuwa salama na wenye amani na ushirikina
Baada ya kifo cha babu yake Kongowea, Nyanya yake aliweza kuolewa tena na kuwazaa Zainabu, Salim na Kitwana
Ndoa ya babu yake Kongowea ilikuwa ya Mitara
